A

A

SASA HII KIBOKO ..ETI HUYU MCHEZAJI NI CHINI YA MIAKA 21 ni mchezaji wa timu ya vijana ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka 20

Huyu ni mchezaji wa timu ya vijana ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka 20, Hivi kwa hali hii soka letu litaendelea kweli? 
Asante Bin Zubery kuzidi kutufumbua macho lol, niliambiwa na mtu wangu wa karibu alienda uwanja wa Karume akakuta vijana wengi wanaocheza ukiwaangalia kiumri na umri wa mashindano ya Uhai Cup ni tofauti

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako