Mwanamziki
Flora Mbasha pichani akiwa na mumewe siku ya jana katika kiwanja cha
Tangamano kilichopo mkoa wa Tanga wakiwapa mashabiki wao neno la bwana.
Nimtoka kuongea na Flora akaniambia wanamshukuru mungu kwani umati
unaokuja kwenye show zake ni mkubwa sana na jioni ya leo watakuwa hapo
hapo viwanja vya Tangamano na bado wako Tanga mpaka tarehe 1 mwezi wa
12.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA DJ CHOKA
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako