Hivi karibuni kulikuwa na taarifa kuwa mwanadada
Wema Sepetu ameamua kumtimua aliyekuwa director wake maarufu kwa jina
la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia
magari ya Wema Sepetu kama gest ya kumaliza haja zake.
Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake.
Kwa mujibu wa tovuti ya bongoclantz ya kupata taarifa hizo Wema
aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni
hiyo ambapo Chid na vijana wengine walikuwa wakitumia gari hiyo
kung'olea watoto wakali na kuwachapa ndani ya gari hiyo.
"Hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema, hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako