A

A

MAGUFULI NA MWIGULU WALIPOITIKISA MBEYA HAPO JANA

Nipeni kazi ya Urais nifanye kazi ya kuwaletea Maendeleo ya uhakika na kwa manufaa ya Watanzania wote,Najua wafanyakazi wazembe hivi sasa huko maofisini wanahaha,Lakini nawahakikishia kuwa hao wote mafisadi,Walarushwa,Wazembe sekalini nitawashughulikia haraka sana" Magufuli -Mbeya.Kada wa Chama cha Mapinduzi akishangilia hotuba ya Mh:magufuli mara baada ya kusema,Uonevu kwa Bodaboda na Mama ntilie sasa umefika Mwisho.Sehemu ya Maelfu ya Wananchi wa mbeya waliofika jana kwenye Viwanja vya Rwanda njovwe kusikiliza Ilani ya CCM kuelekea Uchgauzi Mkuu 2015.Mh;Magufuli ambaye ni Mgombea Urais wa CCM Nchini Tanzania akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Mh;Shitambala.WanaCCM wakishangilia hotuba ya Mh;J.P.MagufuliMwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Mbeya kuwa,Magufuli hanawakufananishwa naye kwenye uchapa kazi,Hawezi kushindanishwa na Waigizaji kama mnavyowaona wakipanda Dalala.Lakini pia alisisitiza kuwa Nchi hii hawawezi kupewa watu wa DILI,WAPIGA DILI ambao wamezungukwa na GENGE la wapiga dili tangu wakiwa vijana.Mwigulu akiagana na Wananchi wa mbeya
Picha na Sanga Festo Jr.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako