A

A

MWIGULU NCHEMBA HAKAMATIKI,AENDELEA KUDHAMINIWA MIKOANI(KATAVI,RUKWA NA MBEYA) WAUNGANA NAYE


Ndugu Mwigulu Nchemba akipokea Orodha ya Wazamini MKoa wa Katavi kutoka kwa Katibu Wilaya wa CCM(Mpanda Mjini.)Mwigulu Nchemba akitoa neon la Shukrani kwa WanaCCM waliomdhamini Mkoa wa Katavi.Mwigulu Nchemba akipokea Orodha ya WanaCCM walioamua kumdhamini kwenye Kufanikisha adhima yake ya Kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hapa ni Sumbawanga Mjini kwa Mkoa wa Rukwa.Mwigulu Nchemba akishuhudia Mmoja ya Wanaccm waliomdhamini kwa Mkoa wa Rukwa.Mwigulu Nchemba akiagana na Wadhamini wake kwenye Mbio za Urais kwa Mkoa wa Rukwa.Mwigulu Nchemba akiwasili Mkoa wa Mbeya,hapa akisalimiana na Wananchi waliojitokeza Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya kwaajili ya kumuunga Mkono kwenye mchakato unaoendelea wa Kuwania nafasi ya Urais ndani ya CCM.Mwigulu Nchemba akionesha Orodha ya wadhamini aliowapata kwa Mkoa wa Mbeya.
"MABADILIKO KWA VITENDO,WAKATI NI SASA"

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako