A

A

MWIGULU NCHEMBA AZIDI KUWA GUMZO KWENYE MBIO ZA URAIS,RUVUMA,NJOMBE NA IRINGA WAMUUNGA MKONO

Mwigulu Nchemba akizungumza na WanaCCM waliojitokeza kumdhamini Mkoani Iringa.Kubwa ameendelea kusisitiza kuwa awamu ya tano ni awamu ya Kufanya mabadiliko kwa Vitendo kwenye Utendaji kazi,Kukomesha mazoea kwenye Utumishi wa Umma.Mwigulu Nchemba akisaini kitabu kuthibitisha kuwa amefika Mkoani Iringa kwaajili ya kutafuta wadhamini.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wadhamini wake kuelekea Safari ya Urais Mwaka 2015 kuwania kuteuliwa ndani ya CCM awezekupeperusha Bendera ya Chama.Mwigulu Nchemba akishuhudia Mmoja ya wadhamini wake akithibitisha kwa maandishi kumdhamini Mwigulu Nchemba awemgombea Urais kupitia CCM.Sehemu ya Wadhamini waliohakikisha wanamsubiria Mwigulu Nchemba hadi Usiku hapa Iringa iliwamdhamini aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .Mwigulu Nchemba akipokea Orodha ya Wanachama hai wa CCM waliomdhamini hapa Mkoani Iringa.Mwigulu Nchemba akiagana na Wananchi waliomdhamini kuwania Urais hapa Iringa.Mh.Mwigulu Nchemba akipokea Orodha ya Wadhamini wake kwa Mkoa wa Njombe hii leo.Mwigulu Nchemba akiondoka Ofisi ya Mkoa wa Ruvuma ya CCM mara baada ya kudhaminiwa na WanaCCM iliaweze kuteuliwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
"MABADILIKO NI VITENDO NA WAKATI NI SASA"

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako