A

A

MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU ADHAMINIWA NA WANACCM MKOA WA MARA,WASISITIZA WANAIMANI NA YEYE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Mwigulu Nchemba akishuhudia mmoja ya wadhamini wake wakijiorodhesha kwenye Fomu ya wadhamini.Mwigulu Nchemba akioneshwa orodha ya Wanachama wa CCM waliomdhamini mkoa wa Mara.Aliyeshika orodha ya Majina ni Katibu wa CCM wilaya ya Musoma Mjini.Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya WanaCCM waliomdhamini kwenye safari ya Kukamilisha taratibu za Chama ili aweze kuteuliwa Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mwigulu Nchemba akionesha orodha ya wadhamini wake kwa Mkoa wa Mara.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako