A

A

MAMA MARIA NYERERE ABARIKI SAFARI YA MWIGULU NCHEMBA KWENDA KUONGOZA TAIFA

Mwigulu Nchemba akiwa na Mama Maria Nyerere hii leo Kijijini Butiama,Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere alipokwenda kusalimia .Mwigulu Nchemba akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Mwl.Nyerere,Nyerere anaendelea kukumbukwa kwa kuwa Muasisi wa Taifa letu na Kiongozi aliyeweka Misingi Imara ya Tanzania tuliyonayo sasa.Mh.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mama Maria nyerere hii leo,Nyumbani Butiama.Wakati wa kuchota Baraka za Mama Maria nyerere akiwa kama mmoja ya waasisi wa Taifa letu,Mwigulu akionekana kuwa makini sana kusikiliza Ujumbe wa Mama Maria Nyerere.Mh:Mwigulu Nchemba akiwasha Mshumaa kama ishara ya Kumtakia Pumziko la Amani Baba wa Taifa.
"WAKATI NI SASA,MABADILIKO KWA VITENDO"

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako