A

A

NAKULETEA PICHA 10 ZA MANZESE INAVYOONEKANA KWA SASA,NI MWENDO KWA MAGHOROFA YA KISASA TU

Hii ni kwa wale waliofika miaka 5 Nyuma hapa Manzese,Hivi sasa Manzese inakua kwa kasi sana katika Ujenzi wa Nyumba za kisasa,Hii ni hatua nzuri,Lakini serikali ipeleke Jicho lake kwenye Uboreshaji wa miundombinu ya maeneo haya(Mifumo ya maji taka na Barabara za ndani ya mitaa).Vinginevyo itakuwa kero kwa watumiaji wa majengo haya ya kisasa.
Picha na Festo Sanga

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako