A

A

UKEREWE WAZIKA UPINZANI,MAPOKEZI KWA FIELD MARSHALL NI BALAA

Mwigulu Nchemba akiwasili Ukerewe hii leo mapema asubuhi.Comrade Mwigulu Nchemba akiwaombea kura wogembea wote wa CCM-Ukerewe,Kubwa ni kwamba CCM ndio chama chenye Ilani inayotekelezwa hadi sasa,Na Ilani hiyo kwa asilimia kubwa imetekelezwa Nchi nzima,Hivyo wananchi waendelee kukiunga mkono.Mwigulu Nchemba akiagana na Wakazi wa Ukerewe mapema hii leo asubuhi mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Kufunga kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa.Mmoja wa Viongozi wa Kidini akisalimiana na Mh:Mwigulu na Kumpongeza kwa namna alivyowafungua macho kuhusu Mabadiliko kwa Vitendo na sio Vyama.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako