A

A

MWIGULU NCHEMBA ALIVYOTUA RULENGE HII LEO

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara akisalimiana na Wananchi wa Rulenga hii leo alipofika Kufunga Kampeni.za Uchaguzi wa serikali za mitaa.Mwigulu Nchemba akisisitiza Wananchi kuwasimamia Viongozi watakao wachagua,kufuatilia mienendo yao.Hakuna kiongozi wa Nchi hii atakaye iba mali ya Umma na akajisifia kuwa yeye ni Kiongozi Mwema na tajiri,Viongozi wabadhilifu wachukuliwe hatua kali ikiwamo kufilisiwa.Mwigulu Nchemba akiwaelezea Wananchi athari za kushindanisha Vyma kwenye chaguzi bila Kuzingatia Ubora wa Viongozi wanaowasimamisha,Wakati huu wa kuelekea Kipato cha kati tushindanishe Viongozi kwa Maendeleo wanayotuletea na sio Vyama.,Mkutano ukiendelea Rulenge-Bihalamulo.Comrade Mwigulu Nchemba akishangiliwa na Wananchi wa Rulenge hii leo baada ya kuwahakikishia kuwa CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kutokana na namna inavyosimamia maendeleo ya Wananchi wake.Mkutano ukiendelea wakati Naibu katibu Mkuu akihutubia.Mwigulu Nchemba akiagana na wananchi wa Rulenge ambao walifurika kumsikiliza hii leo.Mbali na Mkutano huu,Mwigulu Nchebmba hii leo amezungumza na wakazi wa Ukerewe,Bihalamulo,Ngara mjini na Bukoba.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako