A

A

MEATU HII LEO NA FIELD MARSHALL

Comrade Mwigulu Nchemba akiwaisili Meatu Mjini mapema hii leo asubuhi kuzungumza na Wananchi.Hisia za Wananchi wa Meatu Mjini kwa Mwigulu NchembaKueleka Uchaguzi wa serikali za Mitaa Meatu wanasema hivi.....!!!Naibu katibu Mkuu CCM Bara akivalishwa vazi la Kisukuma hii leo kama ishara ya Uongozi uliotukuka na Heshima kwa wazee wa Kisukuma.Wazee wamesisitiza aendelee kupambana kwa maslahi ya Watanzania wanyonge na Masikini.Mwigulu Nchemba akiwasisitiza wananchi wa Meatu kuacha tabia ya kujaribu jaribu vitu hasa kwenye Uchaguzi wa Viongozi,ameomba wananchi waendelee kuwa na imani na Chama cha Mapinduzi kwani ndio chama kilichoshikilia Dola na kimeshawafanyia maendeleo makubwa hapa Nchini.Mkutano unaendelea Meatu mjini hapa hii leo.Wagombea wote wa Chama cha Mipinduzi waliojitokeza kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa waungwe Mkono na wanameatu wote,Tuanze kubadilika kwa kuchukua hatua.Wananchi wa Meatu Mjini wakiagana na Mh:Mwigulu Nchemba hii leo asubuhi alipomaliza kuzungumza nao na kuendelea na yake Mkoa wote wa Simiyu na Mwanza.Meatu Mjini wakifarijika kuwa na Mwigulu Nchemba hii leo.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako