A

A

HII NDIO FUNIKA YA MWIGULU HUKO MBULU HII LEO

Mwigulu akisisitiza jambo kuhusu hujuma dhidi ya Dawa za Hospitali za Serikali zinavyotafunwa na Wachache ili hali wananchi wanahali ngumu.Mwigulu Nchemba akizungumza na Umati wa wakazi wa Mbulu waliofika Mchana waleo kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Mpira mbulu kusikiliza sera za Chama cha Mapinduzi kuelekea Uchaguzi wa serikali za Mitaa.CCM Oyeeeeeeeeeee!!!!Mh:Mwigulu nchemba akisalimiana na Wananchi wa Mbulu Mjini hii leo alipokutana nao kwenye Mkutano wa hadhara wa kuhamasisha wananchi kujitokeza Kupiga Kura tar.14.12.2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.Mwananchama wa CHADEMA akijisalimisha kwa Comrade Mwigulu Nchemba iliaweze kujiunga na CCM.Kijana huyu alikuwa mgombea Uenyekiti kijiji cha Mbulu na ameamua kujitoa.Comrade Mwigulu Nchemba akiwasili viwanja vya mpira Mbulu mjini kwenye mkutano wa hadhara.Mkutano unaendelea.Wananchi wakimsindikiza Mwigulu Nchemba aweze kuondoka viwanja vya Mpira Mbulu.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako