A

A

BUSEGA KILIVYONUKA LEO


Naibu katibu Mkuu akisalimiana na watoto waliofika Kumpokea Kijiji cha Nyamikoma-Busega.Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na
Wananchi wa kijiji cha nyamikoma-Busega hii leo.Mwenyekiti wa Mkoa wa SIMIYU wa CCM akiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT wilaya ya Busega.Mwigulu Nchemba akipokea kadi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha ACT Wilaya ya Busega ambaye ameamua kuhamia CCM kwa hiari yake.Wakati huu tunapoelekea kuwa Nchi ya Kipato cha kati "Kupanga ni Kuchagua,tuanze sasa kuchagua Viongozi watakao tuvusha kwenye kipato hicho"Wananchi wakisisitiza kuwa wapotayari kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa utakao fanyika keshi kutwa Nchini nzima.Mwigulu Nchemba akiwasisitiza Wananchi kuwa njia pekee ya Kidemokrasia ya Kuchagua kiongozi unayempenda ni kujitokeza kupiga kura,Malalamiko yote mwisho wake ni Boksi la Kura.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako