A

A

T MPYA ANAYOKUJA NAYO ALIKIBA!


Hit maker wa ngoma ya ‘Mwana’ Ali Kiba ambaye juzi kati kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta aliweza kudhihirisha kuwa amekifuta kiti chake alichokiacha kwa muda mrefu kwa kumfunika mkali mwenzie Diamond Platnumz.

Mbali na kwamba ni vitu kibao anategemea kuvifanya Ali Kiba ila tayari 
ameshaanza kutumia sura yake kwenye T-shirt zake yote ni ku-step a head katika kujiingizia kipato, but BK Cop alimtafuta Ali Kiba ili kujua kama hii ni project endelevu na ni lini rasmi itaanza kutoka mtaani ila Ali K alikuwa bize kidogo. Usicheze mbali na Baabkubwa litakupa info’s zote kuhusu project hiyo

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako