A

A

CRISTIANO RONALDO – UBAO WA MATANGAZAO UNAOTEMBEA – KWA MWAKA ANAINGIZA £41.5M

Kwa wengi, Cristiano Ronaldo ndio mchezaji bora wa soka duniani kwa sasa mbele ya mpinzani wake wa karibu Lionel Messi.
Huku akiwa na mashabiki zaidi ya millioni 100 kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook huku akiwa na wafuasi millioni 30 kwenye Twitter – nahodha huyu wa Ureno kwa hakika ndio sura maarufu katika soka na hiyo ndio sababu makampuni makubwa duniani kote kuhangaika kutumia sura kwenye brands zao.
Hii hapa ni listi ya makampuni yanayofanya kazi na Ronaldo katika dili za matangazo na kumfanya aingize kiasi cha  £41.5million kwa mwaka..
1413928908462_wps_3_Ronaldo_graphic_1_jpg

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako