A

A

Shutuma za Victoria Kimani kuhusu Ommy Dimpoz,hiki hapa alichokisema Ommy Dimpoz mwenyewe.


ommySiku chache zilizopita alisikika Victoria Kimani akilalamika Ommy Dimpoz kukataa kushiriki kwenye video ya
wimbo wake wa Prokoto huku akisema Ommy Dimpoz alimpa sababu nyingi ikiwa ni pamoja na kumkataa Director wa Kenya.
Kupitia You heard ya July 15 Ommy Dimpoz ameongea na Soudy Brown juu ya malalamiko hayo amabayo yalitolewa na Victoria Kimani na kusema kuwa sababu haikua hiyo ila wao walichelewa kumpa taarifa ya kufanya video hiyo.
87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.
Bonyeza play kusikiliza.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako