A

A

DIEGO COSTA ASAINI MKATABA WA MIAKA MITANO CHELSEA

Swapping sides: Diego Costa has completed his move to Chelsea from Atletico Madrid
Costa katika moja ya matukio yanayoonesha makali yake
Diego Costa, leo hii amekata kiu ya wapenzi na washabiki wa klabu ya Chelsea ya uingereza baada ya kumwaga wino utakaomkalisha katika klabu hiyo kwa miaka mitano ijayo.

Jose Mourinho alishindwa kupata kikombe chochote katika msimu wake wa kwanza baada ya kurejea katika klabu hiyo; Costa ana imani atasaidia kumaliza ukame wa mataji katika klabu hiyo.

Costa aliyejiunga na klabu hiyo kwa dau la pauni za Uingereza Milioni 32 akitokea Atletico Madrid ya Hispania anatarajia kujiunga na kambi ya Chelsea wiki ijayo.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako