A

A

APATA KIPIGO BAADA YA KULA MCHANA PEMBA


Jana mchana, mtu mmoja kisiwani Pemba amejeruhiwa vibaya baada ya kupata kipigo kutoka kwa askari jamii. Mkasa huo umetokea katika kijiji cha
Msingini Chake chake mkoa wa kusini pemba ambapo Polisi jamii wa Shehia hio waliamua kumpiga mtu huyo baada ya kuonekana akila mchana akiwa pamoja na wenzake watatu ambao walifanikiwa kukimbia na kutokomea kusiko julikana.

(Chanzo : Mazrui Media & Communication)

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako