A

A

Chidy Benz ampasua demu mdomo na yeye atupwa ndani ya selo

Habari kuhusu hii ishu ni kwamba mkali wa ilala juz kati alimchapa makonde dada mmoja wakuitwa Aisha Sued wakati wa usiku wa pasaka huku kisa kisijulikane.
chidy-benz-ampasua-demu
Kila kitu kimefanyika under the hood Ilala kwenye bar moja huko na baada ya huo usiku Chidy Benz amekua member wa selo za polisi hadi leo.