A

A

Picha Fumanizi la Kwenye KIgodoro ni Balaaaaaa,Serikali Iingilie Kati


www.nyotanjematz.com  Jiji la dar es salaam huwa ni tamu lakini lina kero zake na uenda kero ni nyingi kuliko raha zilizopo… moja wapo ya kero kubwa zaidi ni hili ambalo bila shaka kila mmoja wetu anayeishi uswahilini linamgusa kwa namna moja ama nyingine … si linguine ni swala hili la miziki ya
kukesha ambayo  imejichukulia umaarufu kwa jina la vigodoro, kwa mtu anaye kaa mitaaa ya mbezi beach, upanga au masaki ni viugmu kuelewa nachomaanisha lakini kwa watu wa yombo vituka, tandale kwa tumbo , ukonga mazizini na sehemu kama tandika wananielewa vizuri…www.nyotanjematz.com
    Ni ukweli usiopingika kuwa hii ni kelo ya watanzania wengi hapa jijini, mara nyingi miziki hii uanza siku ya alhamisi au ijumaa na kwenda mpaka jumapili… kero hii inatokana na mtindo wa upigaji wa mziki huu usiozingatia mda ambapo upigwa mpaka asubuhi bila askujali usumbufu mkubwa wanoupata watu wa karibu na vigodoro hivyo…sa pata picha umerudi toka kazini sa tano usiku kutokana na foleni iliyopo mjini na unaamua kujipumzisha kidogo ili uwahi kuamka ukatafute riziki… kwa sauti ya mziki huu sidhani kama utapata usingizi … kitu ambacho kinaweza kupelekea uamke umechoka na ushindwe kufanya kazi zako kwa ufasaha,,,, hapa tunaweza kusema kwamba miziki hii inarudisha nyuma maendeleo ya watanzania nan chi kwa ujumla.  Kero nyingine ya miziki hii ya usiku ni ukiukwaji wa maadili ya mtanzania kwani kubali ukatae watu wanni wengi hatuna mageti ya kuwazuia watoto wetu… watoto wengi wa umri wa chini ya acheza bila kuhofia chochote na mara nyingi kmbani na kukimbilia kwenye vigodoro hivo na kuwafanya wajifunze tabia amama unavyojua nyumba zetu za uswahilimiaka kumi na nane wamekuwa wakitoroka ara nyingi sharia inasema baa zifungwe sa sita labda uwe na kibali naalum kka wakati snyubazo ni zaidi ya umri wao.
  Nadhani imefiajumbani.. m
asa serikali kuangalia upya sharia za upigaji mziki katika kumbi za starehe na masubuhi na kusababisha kero isiyokuwa ya kawaida kwa wakazi wa maeneo ya uswahiliniutoka sehemu husika .. lakini hii imekua ni tofauti kwa vigodoro kwani uenda mpaka 
GPL

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako