A

A

ARUSHA CHADEMA VIPANDE,CHADEMA ASILI NA CHADEMA FAMILY

Soma Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha ,walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) ,wakidai kuwa Mbunge Lema ndie chanzo cha vurugu kwenye Chama kwa kuanzisha kikundi cha vijana ambacho kimekuwa tishio kwa wale wanaojaribu kupingana na sera za Mbunge huyo. pia wamedai kuwa Arusha kwa sasa CHADEMA imegawanyika katika makundi mawili, amabyo ni CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY.
Mzalendo Blog

1 comment:

  1. Ndio siasa wanayoitaka, wacha wapewe vidonge vyao hawana lolote wizi mtupu ukabila Tanzania sio kwao.

    ReplyDelete

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako